
Chama cha Upinzani CUF nacho kimejipatia viti 10.Akizungumza na waandishi wa habari,jaji Damian Lubuva aidha amesema kuwa idadi ya viti maalum vya wabunge wanawake imepanda hadi kufikia 40.

Amesema kutokana na uchaguzi huo CCM ilipata kura za ubunge milioni 8,333,953, huku CHADEMA ikipata kura 4,627,923 nayo CUF ikipata kura 1,257,051.
Jaji lubuva amesema kuwa kutokana na majimbo 8 ambayo hayakufanya uchaguzi ,mgawanyo wa viti maalum sasa ni 110 ambapo viti vitatu vilivyosalia vitagawanywa baada ya kufanyika kwa uchaguzi katika majimbo hayo.
No comments:
Post a Comment